Ndani ya app: Mipangilio → Futa akaunti. Weka nenosiri lako na thibitisha. Akaunti na vikumbusho vyake vyote vitaondolewa kwenye database kuu baada ya ombi kufanikiwa. Hatua hii haiwezi kutenguliwa.
Huna app au huwezi kuingia? Unaweza kuomba kufuta akaunti kupitia email. Taja namba iliyosajiliwa na kwamba unaomba kufuta akaunti ya Kumbuka. Tutahitaji kuthibitisha kuwa akaunti ni yako kabla ya kuifuta. Usitume nenosiri au OTP.
Omba kufuta akaunti: kumbuka.app@gmail.com
Kufuta akaunti kwenye database kuu hakumaanishi kwamba nakala zote kwenye backups au logs zimeondolewa wakati huohuo. Kwa maelezo au ombi kuhusu nakala hizo, wasiliana nasi.
In the app: Settings → Delete account. Enter your password and confirm. Once successful, your account and all its reminders are permanently deleted from the primary database. This cannot be undone.
Without the app, or if you cannot sign in, email kumbuka.app@gmail.com with your registered number and a request to delete your Kumbuka account. We will need to verify account ownership before deletion. Never email a password or OTP.
Primary database deletion does not mean every backup or log copy is erased at the same moment. Contact us for information or requests concerning those copies.